Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote ...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete yupo wilayani Bukombe kwa ziara ya siku moja, atahudhuria mkutano maalumu wa Chama cha Mapinduzi ...
Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga wamembana Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ...
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla amewataka mawakili wapya waliopatiwa vyeti vya uwakili kuzingatia uadilifu na ...
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kusitishia misaada Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo wa mvutano kati ya utawala wa ...
Raia wa China, Weng Jianjin amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu, yakiwamo ya kukusanya na kuendesha biashara ya upatu na kujipatia Sh34.7 bilioni ...
Mkutano huo unafanyika huku vikundi vya waasi chini ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23) vikiwa vimekamata miji ya Goma, Kivu ...
Baada ya kuteka mji wa Goma ambao ndio mkubwa eneo hilo, kundi hilo likajitapa kwamba sasa linajipanga kwenda hadi Kinshasa, yaani kupindua Serikali.
Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilla leo Februari ...
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results