Moja ya tukio ambalo limeteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vingi ndani na nje ya Tanzania ni kuhusiana na harusi ...
Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha.
Maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo wa kidijitali wa anuani za makazi (NaPa) jijini Dodoma.
Nimegundua waalimu huolewa haraka sana. Na pia huolewa kwa wingi tofauti na fani zingine. Waalimu wana upako wao na ndoa.
Makocha au wachezaji hao walijikuta wakiziacha kwenye mataa Simba na Yanga na kufuata mishahara minono Uarabuni.
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga, wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa limetenga Sh15.6 milioni kwa ajili ya ...
Tangu amekuwepo katika tasnia kwa miaka zaidi ya 20 na hata kushika kasi kwa matumizi ya teknolojia ya kuweka muziki ...
Wanasaikolojia na mtaalamu wa masuala ya malezi, mchungaji Daniel Sendoro, anasema kununa ni tatizo la kisaikolojia, ...
Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
Imeelezwa kuwa, sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi, Zanzibar Januari 2025, zimeongeza mauzo ya mafuta visiwani humo kwa ...
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla amewataka mawakili wapya waliopatiwa vyeti vya uwakili kuzingatia uadilifu na ...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete yupo wilayani Bukombe kwa ziara ya siku moja, atahudhuria mkutano maalumu wa Chama cha Mapinduzi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results