Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa onyo kali kwa waganga wanaoshiriki vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, ikiwamo ...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa ...
Watumiaji wa bidhaa wana haki ya kudai na kufungua shauri la kudai fidia wanapobaini zile walizopatiwa haziendani na walichoahidiwa, huku wakiwa na wajibu wa kupata maelezo ya awali kuzihusu.
Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, imemuhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa kijiji cha Ibatu Kata ya Igowole Tarafa ya Kasanga, Michael John Ngunda (27) baada ya kumtia hatiani ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ...
Mamlaka ya wanyamapori Tanzania (Tawa) imeyataja maeneo ya Songamnara na Kilwa kisiwani kuwa kinara kwa kutembelewa na ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amempa miezi miwili ...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati inayochukua kukabiliana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa magonjwa katika vituo vya afya na ...
Joto la Uchaguzi Mkuu mwaka huu limezidi kupanda na kukoleza maombi ya kugawa maeneo ya uchaguzi ambayo hadi sasa yameyagusa ...
Wakati chama cha ACT Wazalendo, kikisusia kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa, baadhi ya vyama vilivyoshiriki mkutano huo vimesema chama hicho, hakipaswi kudharau chombo hicho chenye dhamana ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imetaka kuwe na mfumo wa kuziunganisha Mamlaka ya Bandari, barabara na reli kwa ...
Serikali imeunda timu ya wataalamu itakayoshirikisha wizara tano kwa ajili ya kushughulikia changamoto za Umoja wa Walimu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results